UsafirishajiTunafikisha wapiDar es Salaam (siku hiyo hiyo)Agiza kabla ya saa 8 mchana kwa usafirishaji wa siku hiyo hiyo Dar.8,000 TZSMikoani (siku inayofuata)Usiku mmoja kupitia mshirika wetu wa courier. Inafuatiliwa.15,000 TZSChukua dukaniBure. Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB Bank, Dar es Salaam, TanzaniaBureYafaa kujuaUsafirishaji wa Dar bure kwa oda zaidi ya TZS 250,000.